URBANMEMES

0%

NEW TRENDINGS


Nikikosea i will always apologize,i have zero pride when it comes to taking accountability.


Kitambo nilikua nafikiria watu hawakulangi supper ni maskiniπŸ˜…


Mamako anaeza shinda mamangu kufanya Alilili...πŸ€”πŸ˜…πŸ€£.


Ile usingizi iliniharibia masomo ndio inataka kuniharibia kaziπŸ’”πŸ’”.


"!-Itabidi tumtafutie msichana mwengine juu mimi nakutaka " is the mother of all the pickup lines.


Unameza dawa ya panya badala ukufe unamea mkia.


Unaamka usiku kususu eye contact kidogo na ndoo ya unga ushaeka maji ya ugaliπŸ˜….


Kuna mtu anadhani sasa eti next year ndio itajipa, my friend wembe ni ule ule.


High school kuna kitu ilikua inaitwa cloze test,hio nilikua nauma mbili ama ikienda sana moja


Huwa nafurahia sana mkiniona mjinga.


Life is so short so break your silly egos,forgive quickly,believe slowly,love truly,laugh loudly and never avoid anything that makes you smile❀️.


There is this immeasurable joy that comes from knowing that you are progressing ,no matter how little it is.

CONTACT US AT: urbanmemes254@gmail.com